RAIS WA ZANZIBAR NA MWENYEKITI WA BARAZA LA MAPINDUZI DR. ALI MOHAMED SHEIN AFUNGUA MAONYESHO YA SIKU YA CHAKULA DUNIANI.

 RAIS WA ZANZIBAR NA MWENYEKITI WA BARAZA LA MAPINDUZI DR. ALI MOHAMED SHEIN AKIWASILI KWENYE VIWANJA VYA MAONYESHO YA SIKU YA CHAKULA DUNIANI YALIYOFANYIKA KIZIMBANI.


 MAKAMO WA PILI WA RAIS BALOZI SEIF ALI IDDI AKISALIMIANA NA VIONGOZI WAKATI AKIWASILI KWENYE MAONYESHO YA SIKU YA CHAKULA DUNIANI.



 RAIS WA ZANZIBAR NA MWENYEKITI WA BARAZA LA MAPINDUZI DR. ALI MOHAMED SHEIN AKIZINDUA MAONYESHO YA SIKU YA CHAKULA DUNIANI.


 VIONGOZI MBALI MBALI WALIOHUDHURIA MAONYESHO HAYO.

KATIBU MKUU WIZARA YA KILIMO, MALIASILI, MIFUGO NA UVUVI ND. JOSEPH ABDALLA MEZA AKITOA MAELEZO MACHACHE JUU YA MAONYESHO YA SIKU YA CHAKULA DUNIANI, NA MTAZAMO WA WIZARA JUU YA KUYABORESHA NA KUWA ENDELEVU. 


 WAZIRI WA KILIMO, MALIASILI, MIFUGO NA UVUVI MHE. HAMAD RASHID MOHAMED AKIHUTUBIA KABLA YA KUMKARIBISHA MHE. RAIS. MHE. WAZIRI ALIWATAKA WAKULIMA KUJA KUJIFUNZA MBINU MPYA ZA KILIMO NA TAFITI MPYA ZILIZOIBULIWA NA WATAALAMU WETU KUTOKA TAASISI YA UTAFITI WA KILIMO KIZIMBANI.


RAIS WA ZANZIBAR NA MWENYEKITI WA BARAZA LA MAPINDUZI DR. ALI MOHAMED SHEIN AKIWAHUTUBIA WANANCHI WALIOHUDHURIA MAONYESHO YA SIKU YA CHAKULA DUNIANI.

Maoni

Machapisho maarufu kutoka blogu hii