Mkurugenzi wa Wakala wa Serekali wa huduma za matrekta na zana za kilimo Nd. Affan Othman Maalim akitoa maelezo kwa Makamo wa pili wa Rais Balozi Seif Ali Iddi alipotembelea wakala huo kwenye maonyesho ya siku ya chakula duniani kwenye viwanja vya Dole.
Mkurugenzi wa Idara ya Umwagiliaji Maji Nd. Haji Hamid Saleh akitoa maelezo yanayohusu Idara yake kwa Makamo wa pili wa Rais Balozi Seif Ali Iddi alipotembelea wakala huo kwenye maonyesho ya siku ya chakula duniani kwenye viwanja vya Dole.
Mtaalum wa kilimo cha umwajiliaji maji Nd. Aisha Iddi Amani akitoa maelezo juu ya mbinu bora za kilimo cha mpunga wa umwagiliaji maji kwa Makamo wa pili wa Rais Balozi Seif Ali Iddi alipotembelea wakala huo kwenye maonyesho ya siku ya chakula duniani kwenye viwanja vya Dole.
Mkurugenzi Idara ya Kilimo Mohamed Rashid akitoa maelezo yanayohusu Idara yake kwa Makamo wa pili wa Rais Balozi Seif Ali Iddi alipotembelea wakala huo kwenye maonyesho ya siku ya chakula duniani kwenye viwanja vya Dole.
Naibu Waziri Wizara ya Kilimo, Maliasili, Mifugo na Uvuvi Mhe. Lulu Msham Abdalla akiangalia mbegu ya mtama wakati wa maonyesho ya siku ya chakula duniani kwenye viwanja vya Dole.
Kuwepo na upatikanaji wa taarifa za kila siku, historia ya wizara na kazi za wizara kwa wanazachi wote Zanzibar
JibuFutaAsalamu alaikum
JibuFutaHakuna uwezekano wa kuekeza kwenye kilimo kwa kutoa mtaji wa fedha na wizara ikamuwezesha manamchi ardhi na mafunzo juu ya zao ambalo litakuwa na soko kwa wakati husika kwalengo lakuwainua wananchi kiuchumi
SOUD H ALI
Futa