Naibu Katibu Mkuu Wizara Kilimo,Maliasili, Mifugo na Uvuvi Nd, Maryam Juma Abdullah akipokea vifaa vya uvuvi kutoka kwa Naibu Mkurugunzi wa Taasisi ya Uvuvi ya Fujian Institute of Oceanography Nd Lian Zhang Fei.
NZI WAHARIBIFU WA MATUNDA. UTANGULIZI Zanzibar ni sehemu ambayo wananchi wake wanategemea zaidi Kilimo cha mazao mbali mbali ikiwemo uzalishaji wa matunda na mbogamboga kwa ajili ya chakula pamoja na biashara kwa kipindi kirefu. Wananchi wakijipatia kipato kwa kukidhi mahitaji na maisha yao ya kila siku pamoja na kunyanyua uchumi wa nchi mazao kama Embe ya Borobo Muyuni zilikua zikisafirishwa hadi nchi za Kiarabu na Ncui kuingiza pesa za kigeni, lakini miaka ya karibuni pamejitokeza wadudu wapya waharibifu wa matunda ambao wamesababisha kiwango cha uzalishaji wa mazao hayo kupungua hali iliyosababisha kukosekana kwa soko la ndani na la nje ya nchi kwa ajili ya usafirishaji wa matunda na kuweza kukosesha Zanzibar Fedha za kigeni kupitia uzalishaji wa matunda. ASILI YA NZI WAGHARIBIFU WA MATUNDA. Nzi wagharibifu wa Matunda wameenea karibu ulimenguni kote isipokua katika Bra la Antaktika, Nzi hao wamegawanyika katika jamii mbali mbali , kati ...
Slotyro Casino - Mapyro
JibuFutaFind 의왕 출장안마 Slotyro Casino in 안양 출장안마 Hilo, Hilo, Oahu, and other localities. 사천 출장샵 Get directions, reviews and information 인천광역 출장마사지 for Slotyro Casino 순천 출장안마 in Hilo, Oahu,