Katibu Mkuu Wizara ya Kilimo, Maliasili, Mifugo na Uvuvi akishiriki zoezi la uvunaji wa mpunga, kwenye  mpango wa  majaribio wa heka hamsini  kwa kila wilaya  kuwapa wakulima pembejeo zote za kilimo, uvunaji huo umefanyika kwenye bonde la Pangeni mkoa wa Kaskazini Unguja

Maoni

Machapisho maarufu kutoka blogu hii