Machapisho

Inaonyesha machapisho kuanzia Oktoba, 2017
Picha
Mkurugenzi wa Wakala wa Serekali wa huduma za matrekta na zana za kilimo Nd. Affan Othman Maalim akitoa maelezo kwa Makamo wa pili wa Rais Balozi Seif Ali Iddi alipotembelea wakala huo kwenye maonyesho ya siku ya chakula duniani kwenye viwanja vya Dole.  Mkurugenzi wa Idara ya Umwagiliaji Maji Nd. Haji Hamid Saleh akitoa maelezo yanayohusu Idara yake kwa Makamo wa pili wa Rais Balozi Seif Ali Iddi alipotembelea wakala huo kwenye maonyesho ya siku ya chakula duniani kwenye viwanja vya Dole.  Mtaalum wa kilimo cha umwajiliaji maji Nd. Aisha Iddi Amani akitoa maelezo juu ya mbinu bora za kilimo cha mpunga wa umwagiliaji maji kwa Makamo wa pili wa Rais Balozi Seif Ali Iddi alipotembelea wakala huo kwenye maonyesho ya siku ya chakula duniani kwenye viwanja vya Dole.
 Mkurugenzi Idara ya Kilimo Mohamed Rashid  akitoa maelezo yanayohusu Idara yake kwa Makamo wa pili wa Rais Balozi Seif Ali Iddi alipotembelea wakala huo kwenye maonyesho ya siku ya chakula duniani kwenye viwanja vya Dole.  N…
Picha
RAIS WA ZANZIBAR NA MWENYEKITI WA BARAZA LA MAPINDUZI DR. ALI MOHAMED SHEIN AFUNGUA MAONYESHO YA SIKU YA CHAKULA DUNIANI.
RAIS WA ZANZIBAR NA MWENYEKITI WA BARAZA LA MAPINDUZI DR. ALI MOHAMED SHEIN AKIWASILI KWENYE VIWANJA VYA MAONYESHO YA SIKU YA CHAKULA DUNIANI YALIYOFANYIKA KIZIMBANI.

 MAKAMO WA PILI WA RAIS BALOZI SEIF ALI IDDI AKISALIMIANA NA VIONGOZI WAKATI AKIWASILI KWENYE MAONYESHO YA SIKU YA CHAKULA DUNIANI.


RAIS WA ZANZIBAR NA MWENYEKITI WA BARAZA LA MAPINDUZI DR. ALI MOHAMED SHEIN AKIZINDUA MAONYESHO YA SIKU YA CHAKULA DUNIANI.

 VIONGOZI MBALI MBALI WALIOHUDHURIA MAONYESHO HAYO.
KATIBU MKUU WIZARA YA KILIMO, MALIASILI, MIFUGO NA UVUVI ND. JOSEPH ABDALLA MEZA AKITOA MAELEZO MACHACHE JUU YA MAONYESHO YA SIKU YA CHAKULA DUNIANI, NA MTAZAMO WA WIZARA JUU YA KUYABORESHA NA KUWA ENDELEVU. 

 WAZIRI WA KILIMO, MALIASILI, MIFUGO NA UVUVI MHE. HAMAD RASHID MOHAMED AKIHUTUBIA KABLA YA KUMKARIBISHA MHE. RAIS. MHE. WAZIRI ALIWATAKA WAKULIMA KUJA KUJIFUNZA MBINU MPYA ZA KILIMO NA TAFITI MP…
Picha
Naibu Waziri Wizara ya Kilimo, Maliasili, Mifugo na Uvuvi Mhe. Lulu Msham Abdalla akiwa na mazungumzo na Mkurugenzi Idara ya Misitu na Maliasili Zisizorejesheka Nd. Soud Mohamed Juma kwenye ofisi za Idara ya Misitu  Maruhubi kabla ya kukabidhi vitendea kazi kwa wadau wa Misitu(mwenye nasari binafsi).
Jumla ya miche milioni mbili na laki tano (2,500,000) inatarajiwa kupandwa katika msimu wa kilimo mwaka 2017/18 katika  Idara ya misitu na maliasili zisizorejesheka . Akikabidhi vitendea kazi  kwa vitalu vya uzalishaji miche binafsi kwa vikundi kumi na saba kutoka wilaya Kaskazin B,  Maharibi A na B   na Naibu waziri Wizara Kilimo,Maliasili, Mifugo na Uvuvi Mhe Lulu Msham Abdalla huko Maruhubi katika ofisi za Idara ya misitu na maliasili Zisizorejesheka. Amesema Wizara  kupitia Idara ya Misitu INA  lengo la kuhakikisha  miche  inapatikana kwa wananchi wote ili kuhifadhi na kulinda mali  asili, mazingira na mali zisizorejesheka.

Mhe. Lulu akikabidhi vitendea kazi kwa mdau wa misitu (mwenye n…